Nufaika na unifaishe rafiki zako!

  • Jipatie $50 ya fedha halali kwa kila mshirika atakayeweka fedha kwa mara ya kwanza.
  • Mpatie rafiki yako bonasi 100% kutoka LiteFinance atakapoweka fedha kwa mara ya kwanza $250 au zaidi.
  • Wasiliana, wasaidie rafiki zako kunufaika na upate kipato cha ziada kupitia programu ya LiteFinance ya ''Mlete rafiki''

Namna ya kunufaika kupitia programu ya ''Mlete rafiki''

Jisajili kwa LiteFinance, hakiki wasifu wako, na uweke walau $100 katika akaunti yako ya biashara

Jipatie kurasa yako ya ushirika kupata wateja wapya. Iangalie upande wa kona ya juu kulia wa eneo la wasifu wa mteja

Wapatie rafiki zako na washirika 100% bonasi kwa kuweka kwao fedha kupitia kurasa yako ya ushirika

Jipatie $50 ya fedha halali kwenye akaunti yako ya biashara kutoka LiteFinance kwa kila fedha itakayowekwa na washirika kuanzia $250

Fanya biashara binafsi, shirikisha maendeleo yako, jipatie kipato cha ziada kwa kuwaalika rafiki zako.

Sambaza kiungo chako cha ushirika kwenye majukwaa, blogu za forex za soga za forex, usisahau kuwaalika rafiki zako walioko Facebook, X, Telegram, Instagram mitandao mengine ya kijamii.

Utapokea

  • Eneo lako la rufaa kusambaza zawadi ya msimbo wa msaada kwa kupata bonasi ya kuweka fedha 100% bonasi kwa ajili ya washirika wako.
  • $50 ya fedha halali kwa kuweka fedha kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya $250 kwa kila mshirika aliyejiunga. Fedha itawekwa kwenye akaunti yako ya biashara na inaweza kutumika au kutolewa bila kikwazo.

Washirika wako watapata

  • Bonasi ya 100% kwa kuweka fedha kwa mara ya kwanza kwenye akaunti ya biashara $250 au zaidi
  • Upatikanaji wa jukwaa la teknolojia ya juu kwa kufanya biashara na kunakili biashara katika masoko ya fedha
ShirikiOnyo la hatari: Kufanya biashara kwenye FX na CFDs kunajumuisha hatari kubwa katika kupoteza mtaji.

Sheria na masharti ya programu ya ''Mlete rafiki''

  1. Wateja pekee waliojisajili na waliohakiki wasifu wao kikamilifu kwa LiteFinance Global LLC wanaweza kushiriki katika programu hii na kupata kiungo cha ushirika kwenye kurasa ikiwa na msimbo pekee wa ushirika utakamuwezesha kupata wateja wenye uwezo. Pia kiwango kidogo cha $100 katika kuweka fedha kwenye akaunti ya biashara kinatakiwa.

  2. Kupata kurasa pekee ya ushirika, mshiriki anapaswa kuunda jina la utani na aweke picha ya wasifu LiteFinance .

  3. Mshiriki wa mpango hutoa fursa ya kupokea 100% bonasi kwa amana yao ya kwanza ya $250+ kwa wateja wanaovutia (kupitia kiungo cha rufaa) kwa LiteFinance.

  4. Mshiriki wa programu atapata $50 kwa kila mshirika aliyejiunga kupitia kiungo cha ushirika cha mteja. Ili mshiriki apokee bonasi mteja aliyejiunga anapaswa kuweka fedha $250 au zaidi

  5. Tafadhali tambua kwamba, ili kupata tuzo, mteja aliyevutwa anapaswa kujisajili na LiteFinance kupitia kiungo cha rufaa cha ''Mtele Rafiki'' na kutumia msimbo wa tangazo (kutoka kwenye eneo lako la rufaa) wakati wa kufanya fedha kwa mara ya kwanza. Msimbo wa ushirika unaweza kuhuishwa ndani ya siku 7 pekee kufuatia siku ya usajili kwa LiteFinance.

  6. Promosheni hii haitumiki kwa wakazi wa nchi zifuarazo: Afghanistan, Bangladeshi, Uchina, Indonesia, Japani, Malesia, Myanmar (Burma), Pakistani, Ufilipino, Korea Kusini, Taiwan, Tailandi.

  7. Kampuni inayo haki ya kutolipa kamisheni au kuitoa kamisheni iliyolipwa awali iwapo mshirika hataonesha ufanyaji wa biashara baada ya kuweka fedha.

  8. Kukiwa na tuhuma kwa shughuli zozote za ulaghai kwa upande wa mteja au ukiukwaji wa hati za udhibiti wa kampuni, LiteFinance ina haki ya kukataa ushiriki katika mpango au malipo ya "Mlete rafiki" chini ya mpango huu wakati wowote na bila kutoa. sababu zake. LiteFinance ina haki ya kughairi (kutoa kutoka kwa akaunti) wakati wowote fedha zilizolipwa mapema na pia kughairi matokeo ya miamala yoyote iliyofanywa kwa kutumia fedha hizi.

  9. LiteFinance inayo haki ya kuomba taarifa yoyote ya utambulisho wa mteja. Mteja akikataa kutoa taarifa au hati katika kuhakiki utambulisho na anuani ya makazi [company} inayo haki ya kumuondoa mteja huyo katika programu na kuondoa faida iliyotokana na programu ya ''Mlete rafiki'', na kufuta matokeo yoyote katika miamala iliyofanyika kupitia faida hiyo.

  10. LiteFinance ina haki ya kubadili masharti ya programu ya ''Mlete mteja'' muda wowote bila ya kutoa taarifa.

  11. Masharti ya programu yatahusika kama yalivyokubaliwa na mteja kutoka muda alipopokea kiungo cha ushirika cha mshiriki.

Tufuatilie kwenye media ya jamii
Soga ya Moja kwa Moja
Wasilisha mrejesho
Live Chat