Pata faida na LiteFinance!

30%

Jipatie bonasi ya 30% kuongeza amana yako!

Hatua 1
Kiungo Register cha LiteFinance kama bado hauna
Hatua 2
Fungua kwenye ''Jipatie 30%''
Hatua 3
Weka msimbo wa nyongeza LUCKYMMU kwa amana ya zaidi ya 2000000 MMK

Zilizobaki kuwezeshwa

293

Msimbo wa nyongeza

LUCKYMMU

Fanya haraka! Msimbo wa nyongeza ni michache
Masharti ya matumizi ya bonasi LUCKYMMU
  1. Msimbo wa nyongeza unawezeshwa kutoka 10.06.2024 mpaka 24.05.2026
  2. Msimbo wa nyongeza wa kushiriki: LUCKYMMU
  3. Bonasi inapatikana kwa wateja wa LiteFinance pekee kutoa kwenye nchi: Myanmar (Burma)
  4. Msimbo wa nyongeza unakupa haki ya kupokea bonasi ya 30% kwa amana yako.
  5. Msimbo huu wa nyongeza unaweza kutumia kwa amana ya zaidi ya 2000000 MMK kwenye akaunti yako.
  6. Bonasi ya nyongeza inatumika kwa aina za akaunti zifuatazo: MT4-CLASSIC, MT4-CLASSIC2, MT4-CENT, MT4-CENT2, MT4-ECN, MT4-ECN2, MT4-ECN3, MT5-CLASSIC, MT5-CENT, MT5-ECN
  7. Mteja anaweza kutumia msimbo huu wa nyongeza mara 9 pekee.
  8. Kuwezesha msimbo wa nyongeza, mteja anapaswa kuuweka wakati wa amana kwenye eneo la wasifu wa mteja. Bonasi italipwa kwenye akaunti mara baada ya akaunti kuwekewa hela.
  9. Jumla ya bonasi ya juu inayoweza kulipwa kwa mfumo wa ofa hii ni 200000000 MMK
  10. Fedha za bonasi haziwezi kuwekwa kwenye akaunti ambayo kiinua mtaji kinazidi 1:1000
  11. Bonasi haiwezi kuwekwa kwa kuhamisha fedha zilizo katika akaunti za biashara za mteja.
  12. Bonasi italipwa kama fedha ya mkopo na haitaweza kufanyiwa biashara au kutolewa. Hata hivyo, faida inayotengenezwa kwa kutumia fedha za bonasi inaweza kutolewa bila ya kikwazo.
  13. Bonasi itakuwa halali kwa kipindi cha miezi{number} kutoka siku ya malipo ya bonasi. Fedhaya bonasi iliyowekwa kwenye akaunti ya biashara inaweza kutumia katika biashara, au kutolewakutoka kwenye akaunti ndani ya kipindi hiki. Bonasi itaondolewa baada ya kuisha muda wake hapo juu.
  14. Mteja anapotoa fedha yake mwenyewe katika akaunti yake au kwa kuhamisha kwenda akaunti nyingine, kiwango cha bonasi kinapunguzwa kwa uwiano wa salio la akaunti. LiteFinance ina haki ya kuichukua fedha ya bonasi kama mteja atatoa feha yake au sehemu ya mtaji wake kutoka kwenye akaunti yake.
  15. LiteFinance ina haki ya kupunguza bonasi kwa uwiano wa fedha zilizobaki kwenye akaunti kama mteja atapoteza sehemu ya fedha zake kwa matokeo ya kufanya biashara.
  16. Mgawanyo wa kamisheni ya mshirika hautalipwa kwa miamala ambayo ujazo wake umetokana na fedha za bonasi.
  17. Pesa za bonasi zinaweza kutumika kama kiasi cha ziada. Biashara hauwezi kufanywa kwa njia ya pesa za kuweka pekee. Bonasi itaghairiwa ikiwa pesa zote za mteja mwenyewe zitapotea.
    Angalizo: Kama salio la akaunti ni hasi baada ya kufunga biashara, unaweza kuwasiliana na timu ya msaada wa kiufundi kurekebisha salio la akaunti.
  18. Bonasi hii haiwezi kufanyiwa biashara. Ina maana bonasi inaweza kutumika kama nyongeza ya mtaji kwenye kuongeza nafasi zaidi ila haiwezi kurudisha hasara ya mtaji wote inayoendelea. Itapunguzwa tu iwapo kutatokea Kutolewa Kwenye biashara, kiwango cha akaunti kikiwa hasi au kusipokuwa na biashara zilizofunguliwa kwenye akaunti.

  19. LiteFinance ina haki ya kukataa kutoa bonasi au kuiondoa muda wowote na bila ya kutoa sababu kwa bonasi iliyotolewa kabla pia kufuta matokeo ya miamala iliyofanyika kwa kutumia fedha ya bonasi.
  20. Kampuni ina haki ya kusahihisha matokeo ya biashara ya mteja kwa kuhofia tendaji wa ''uwindaji wa bonasi''' au tendo lolote la udhalimu linalohusisha fedha ya bonasi.

    Sehemu ya matokeo yaliyotokana na biashara iliyofanyika kwa kutumia fedha ya bonasi itafutwa. Utendaji wa biashara usiojitosheleza, kuhusika kwa matumizi makubwa ya ujazo kwenye biashara au biashara kadhaa katika ujazo mdogo zilizofanywa kwa kiwango kimoja na kwa muda unaofanana, ikiwa na tafsiri ya ugawaji wa biashara kubwa katika biashara ndogodogo, inaweza kutumika kuwa sababu ya kuhakiki matokeo. Kwa kufuata sheria, hakuna biashara iliyojitosheleza kwenye aina hiyo ya akaunti. Kwa kugundua biashara ya aina hiyo, kampuni inaweza kuiondoa bonasi muda wowote nila ya kutoa taarifa ya awali.

    Pia, kampuni ina haki yakurejeshewa gharama zifuatazo:

    • Gharama zinazohusisha uhamishaji wa fedha kwenda kwenye akaunti za watoa huduma wakubwa wa kifedha;
    • Gharama zinazohusiana na malipo ya kamisheni ya ushirika kama hazitaweza kupunguzwa kutoka kwenye akaunti mwenza ya biashara;
    • Ada za huduma za malipo katika kuweka na kutoa fedha;
    • Kurekebisha salio hasi.
  21. Kampuni LiteFinance inahifadhi haki ya kuomba taarifa za ziada za mteja. Mteja akikataa kutoa taarifa zake au viambatanisho vya kuhakiki utambulisho wake na anuani ya makazi, LiteFinance inahifadhi haki ya kuitoa fedha ya bonasi kuda wowote pia kufua matokeo ya miamala yaliyofanywa kwa kutumia fedha ya bonasi.
  22. Mteja anayeshiriki promosheni ya bonasi anapaswa kufuata taarifa ya aya 4.7 ya makubaliano ya wateja, inayosomeka ifuatavyo:
    Kampuni inarekebisha viwango hasi katika akaunti za biashara kukiwa na thamani hasi inayoonekana katika safu ya ''Mtaji'' kwenye jukwaa la biashara. Marekebisho katika akaunti ya biashara (kuweka mpaka sifuri) yatafanywa pekee kwenye akaunti ambazo hazina biashara inayoendelea wakati wa muda wa marekebisho, ikimaaanisha kwamba hakuna biashara inayoendelea kwa wakati huo. (biashara zinazosubiri hazitahusika). Fedha ya bonasi zitapunguzwa kutoka kwenye safu ya ''Mkopo'' ikiwa na maoni ya ''bonasi_imetolewa(usawa hasi}''. Wakati huohuo, fedha inayolingana na usawa hasi uliopo utawekwa kwenye akaunti kwa maoni ya ''Urekebishaji wa Usawa wa Sifuri'
  23. Akaunti zenye fedha ya bonasi haziwezi kuhusika katika programu ya kunakili-biashara. Bonasi haiwezi kuwekwa kwenye akaunti zinazishiriki katika programu ya kunakili-biashara.
  24. LiteFinance ina haki ya kurekebisha taratibu kuhusu ofa hii wakati wowote na bila ya taarifa maalum.
  25. Masharti haya ya promosheni yatazingatiwa kuwa yamekubaliwa na mteja kuanzia wakati wa kuwezesha msimbo wa promo.
Live Chat