Pata faida na LiteFinance!

$50

Jipatie bonasi yako ya $50 bila ya kuweka mtaji!

Hatua 1
Fungua kwenye '' jipatie $50''
Hatua 2
Register with LiteFinance
Hatua 3
Weka msimbo wa nyongeza TRYFREE

Zilizobaki kuwezeshwa

0

Msimbo wa nyongeza

TRYFREE

Masharti ya matumizi ya bonasi TRYFREE
  1. Msimbo wa nyongeza wa kushiriki: TRYFREE
  2. Bonasi inapatikana kwa wateja wa LiteFinance pekee kutoa kwenye nchi: Aljeria, Morocco, Singapore
  3. Msimbo huu wa nyongeza unawapatia wateja bonasi ya bila mtaji baada ya kujisajili na kampuni LiteFinance
  4. The promo code gives you the right to receive a no deposit bonus of $50
  5. Bonasi ya nyongeza inatumika kwa aina za akaunti zifuatazo: MT4-CLASSIC, MT4-CLASSIC2, MT4-CENT, MT4-CENT2
  6. Mteja anaweza kutumia msimbo huu wa nyongeza mara 1 pekee.
  7. Kuuwezesha msimbo wa nyongeza, mteja anapaswa kuuweka wakati anajisajili kwenye akaunti yake. Bonasi itahamishwa kwenye akaunti mpya ya kufanya biashara baada ya usajili. Itaonekana katika safu ya ''Mkopo''

    Only new clients of LiteFinance may activate the promo code. The promo code is paid only into trading accounts with no deposit.
  8. Fedha za bonasi haziwezi kuwekwa kwenye akaunti ambayo kiinua mtaji kinazidi 1:1000
  9. Fedha za bonasi zinaongezwa katika eneo la ''mtaji''. Wateja waliohakiki taarifa zao kikamilifu wanaweza kuzitumia bila kipingamizi chochote. Mpaka wasifu wa mteja uwe umehakikiwa kikamilifu, katika barua pepe ya mteja, namba ya simu, jina na anuani vihakikiwe, mteja hataweza kufanya biashara katika akaunti ambayo ina bonasi ya bila mtaji. Akaunti ya aina hiyo itakuwa kwenye hali ya kuangalia tu.
  10. Bonasi na faida iliyotengenezwa kwa kutumia bonasi ni mali ya kampuni.
  11. Bonasi ya bila mtaji na faida zilizotengenezwa kwa kutumia bonasi hii zinaweza kutolewa tu baada ya mteja kukidhi vigezo vya utoaji wa fedha vilivyoainishwa kaktika aya hizi12, 13
  12. Mteja hawezi kutoa fedha kutoka kwenye akaunti ya bonasi bila mtaji mpaka aweke fedha katika akaunti hiyo. Baada ya kuweka fedha, mteja anaweza kutoa fedha inayoonekana katika safu ya ''mtaji'' pekee.
  13. Bonasi na faida iliyotengenezwa kwa kutumia bonasi inaweza kutolewa tu baada ya fedha kuwekwa kwenye akaunti. Tafadhali kumbuka kuwa uwekaji wa fedha utafuata taratibu zifuatazo:

    а) Biashara zote zilizofunguliwa zitajifunga moja kwa moja. Tunashauri kufunga biashara zote zilizo wazi kabla ya kuweka fedha.
    b) Fedha zinazoonekana kwenye safu ya ''mtaji'' zitahamishwa kwenda kwenye safu ya ''amana''(faida/hasara za biashara). Zitahusika kuwa ''fedha za amana''
    c) Fedha iliyowekwa itaonekana kwenye safu ya ''mtaji''.

    Kumbuka: Fedha inayotakiwa kuwekwa inapaswa kulingana au kuzidi kiwango kilichopo kwenye fedha ya amana.
  14. Baada ya kuweka fedha, faida yoyote iliyotokana na biashara zitaondolewa kwenye akaunti.



    Pesa za mkopo zinaweza kuwa fedha za "usawa" na kisha kutolewa kwenye akaunti. Ili kutoa pesa za mikopo, mteja anahitaji kubadilisha kiasi fulani cha biashara: angalau biashara 100 ambazo jumla yake ni angalau {kiasi} cha kiasi cha fedha za mikopo.

    Kiwango cha fedha ya amana ($) 30% of the amount of credit funds
    $100 30 lots
    $200 60 lots
    $500 150 lots
    $1000 300 lots

    When calculating the total volume of closed transactions, note that:

    Mgao wa 0.01 unatumika kwenye CFDs katika hisa na fahirisi za hisa; mgao wa 0.1 unatumika kwenye mafuta. Fomula ifuatayo inatumika wakati wa kuhesabu ujazo halisi wa biashara ya fedha mtandao: ujazo x ukubwa wa mkataba / 100,000 × bei ya soko.

    Ujazo ni mara 100 zaidi kwa akaunti za Senti.

    Wakati wa kuongeza fedha za bonasi kwenye salio la akaunti, ni biashara tu zinazofanywa kwa kutumia fedha za Mteja mwenyewe zitazingatiwa (pamoja na kukatwa kwa fedha za mkopo).

    Wakati wa kuhesabu ujazo kamili wa biashara zilizofungwa, hatutahusisha:

    futa na ufunge biashara inayosubiri;

    biashara zinazokinzana na kipengele 6.13.2 cha "Mkataba wa Mteja";

    Biashara nzima au zilizopingana (biashara moja iliyopinga ndio itahusika; biashara iliyoipinga haitajumuishwa):

    biashara zenye pungufu ya sekunde 120;

    biashara ambazo zimetoa pungufu ya pips30 katika faida/hasara (nambari mbili za mwisho zilizo baada ya nukta ya desimali katika jozi ya sarafu);

    Biashara zinazofanywa kwenye akaunti kabla ya kupokea ya fedha ya bonasi;

    biashara huzingatiwa kwa kuhamisha bonasi nyingine kwa mizani.

  15. Bonasi itakuwa halali kwa kipindi cha miezi1 kutoka siku ya malipo ya bonasi. Fedhaya bonasi iliyowekwa kwenye akaunti ya biashara inaweza kutumia katika biashara, au kutolewakutoka kwenye akaunti ndani ya kipindi hiki. Bonasi itaondolewa baada ya kuisha muda wake hapo juu.
  16. Mteja anapotoa fedha yake mwenyewe katika akaunti yake au kwa kuhamisha kwenda akaunti nyingine, kiwango cha bonasi kinapunguzwa kwa uwiano wa salio la akaunti. LiteFinance ina haki ya kuichukua fedha ya bonasi kama mteja atatoa feha yake au sehemu ya mtaji wake kutoka kwenye akaunti yake.
  17. LiteFinance ina haki ya kupunguza bonasi kwa uwiano wa fedha zilizobaki kwenye akaunti kama mteja atapoteza sehemu ya fedha zake kwa matokeo ya kufanya biashara.
  18. Kamisheni ya ushirika katika biashara inayotokana na matumizi ya fedha ya kampuni na fedha ya mkopo haitalipwa. Kamisheni ya ushirika italipwa baada ya mteja kuweka fedha katika akaunti yake ya biashara. Kiwango cha kamisheni kitaendana na fedha inayomilikiwa na mteja iliyotumika katika kila biashara.
  19. Fedha ya mkopo inaweza kutumiwa kama nyongeza ya mtaji. Biashara haiwezi kufanyika kwa kutumia fedha ya mkopo pekee. Bonasi itaondolewa kama mtaji wote wa mteja utapotea.
    Angalizo: Kama salio la akaunti ni hasi baada ya kufunga biashara, unaweza kuwasiliana na timu ya msaada wa kiufundi kurekebisha salio la akaunti.
  20. {kuachwa nje kisalio} inatumika kwa akaunti zilizowekwa kwenye pesa za bonasi.

    Ikiwa hitaji la ukingo ili kudumisha nafasi zilizo wazi ni chini ya kiasi cha fedha za bonasi, Kuachwa Nje kutafanyika mara tu kiwango cha usawa kinapopungua hadi kiwango cha mahitaji ya ukingo.

    If the margin requirement to maintain open positions is higher than or equal to the sum of bonus funds, the Stop Out will occur as soon as the equity level reaches the level of bonus funds, or as soon as the Margin Level reaches the value of 20%

    Hali ya sasa ya akaunti inadhibitiwa na seva ambayo hutoa agizo la kufunga nafasi kwa lazima endapo Kukomesha kwa Mkopo kutokea. Credit Stop Out inatekelezwa kwa bei ya sasa ya soko kwa msingi wa kuja, kuuzwa kwanza.

  21. LiteFinance ina haki ya kukataa kutoa bonasi au kuiondoa muda wowote na bila ya kutoa sababu kwa bonasi iliyotolewa kabla pia kufuta matokeo ya miamala iliyofanyika kwa kutumia fedha ya bonasi.
  22. Kampuni ina haki ya kusahihisha matokeo ya biashara ya mteja kwa kuhofia tendaji wa ''uwindaji wa bonasi''' au tendo lolote la udhalimu linalohusisha fedha ya bonasi.

    Sehemu ya matokeo yaliyotokana na biashara iliyofanyika kwa kutumia fedha ya bonasi itafutwa. Utendaji wa biashara usiojitosheleza, kuhusika kwa matumizi makubwa ya ujazo kwenye biashara au biashara kadhaa katika ujazo mdogo zilizofanywa kwa kiwango kimoja na kwa muda unaofanana, ikiwa na tafsiri ya ugawaji wa biashara kubwa katika biashara ndogodogo, inaweza kutumika kuwa sababu ya kuhakiki matokeo. Kwa kufuata sheria, hakuna biashara iliyojitosheleza kwenye aina hiyo ya akaunti. Kwa kugundua biashara ya aina hiyo, kampuni inaweza kuiondoa bonasi muda wowote nila ya kutoa taarifa ya awali.

    Pia, kampuni ina haki yakurejeshewa gharama zifuatazo:

    • Gharama zinazohusisha uhamishaji wa fedha kwenda kwenye akaunti za watoa huduma wakubwa wa kifedha;
    • Gharama zinazohusiana na malipo ya kamisheni ya ushirika kama hazitaweza kupunguzwa kutoka kwenye akaunti mwenza ya biashara;
    • Ada za huduma za malipo katika kuweka na kutoa fedha;
    • Kurekebisha salio hasi.
  23. Kampuni LiteFinance inahifadhi haki ya kuomba taarifa za ziada za mteja. Mteja akikataa kutoa taarifa zake au viambatanisho vya kuhakiki utambulisho wake na anuani ya makazi, LiteFinance inahifadhi haki ya kuitoa fedha ya bonasi kuda wowote pia kufua matokeo ya miamala yaliyofanywa kwa kutumia fedha ya bonasi.
  24. Mteja anayeshiriki promosheni ya bonasi anapaswa kufuata taarifa ya aya 4.7 ya makubaliano ya wateja, inayosomeka ifuatavyo: Kampuni inarekebisha viwango hasi katika akaunti za biashara kukiwa na thamani hasi inayoonekana katika safu ya ''Mtaji'' kwenye jukwaa la biashara. Marekebisho katika akaunti ya biashara (kuweka mpaka sifuri) yatafanywa pekee kwenye akaunti ambazo hazina biashara inayoendelea wakati wa muda wa marekebisho, ikimaaanisha kwamba hakuna biashara inayoendelea kwa wakati huo. (biashara zinazosubiri hazitahusika). Fedha ya bonasi zitapunguzwa kutoka kwenye safu ya ''Mkopo'' ikiwa na maoni ya ''bonasi_imetolewa(usawa hasi}''. Wakati huohuo, fedha inayolingana na usawa hasi uliopo utawekwa kwenye akaunti kwa maoni ya ''Urekebishaji wa Usawa wa Sifuri'
  25. Akaunti zenye fedha ya bonasi haziwezi kuhusika katika programu ya kunakili-biashara.Bonasi haiwezi kuwekwa kwenye akaunti zinazishiriki katika programu ya kunakili-biashara.
  26. LiteFinance ina haki ya kurekebisha taratibu kuhusu ofa hii wakati wowote na bila ya taarifa maalum.
  27. Masharti haya ya promosheni yatazingatiwa kuwa yamekubaliwa na mteja kuanzia wakati wa kuwezesha msimbo wa promo.
Live Chat